Taasisi ya Mazingira FEPT yenye makao makuu yake Jijini Arusha imeanza kampeni ya upandaji wa miti 5000 lengo likiwa ni kukabiliana na ukame katika kata mbalimbali za mkoa wa Arusha.